Msisimko wa Kweli – Habari, Burudani, Filamu, na Muziki
Matukio ya kitaifa na kimataifa yanayogusa jamii.
Maisha ya wasanii, vijana na harakati za mabadiliko.
Matukio ya kitaifa na kimataifa yanayogusa jamii.
Maisha ya wasanii, vijana na harakati za mabadiliko.
Matukio ya kitaifa na kimataifa yanayogusa jamii.
Maisha ya wasanii, vijana na harakati za mabadiliko.
(Upof wa Moyo)
Filamu ya Baba B na safari ya kumbukumbu yake iliyojaa vituko.
Hivi ni mflulizo wa vipindi maarufu vya runinga vya ndani na nje ya tanzania
Tazama trailer mbali mbali pamoja na uchambuzi wa filamu husika kwa ujumla
Tazama filamu hizi za zamani ambazo zimewahi kutikisa masoko ya filamu mbali mbali duniani
Habari kuhus nyota wa filamu mbali mbali maisha yao, kazi zao pamoja na matukio mnali mbali kuwahusu wao
Unaweza kuomba kushiriki kipindi kwa kutuandikia Email Tuma maombi hapa
Wachangiaji maalumu ni viongozi mbali mbali kutoka katika taasisi za kiserekali na binafsi lakini pia wadau kutoka katika mashirika mbali mbali yasiyo ya kiserikali yaani NGOs pamoja na taasisi za kidini na asasi za kiraia
tusikilize live hapa kwa kubofya sikiliza hapa
Wasikilizaji wetu wanayo fursa ya kufanya mambo yafuatayo kwaajili ya redio pamoja na Tv yetu ya msisimko Fm na msisimko Tv
mambo hayo ni pamoja na-:
Kutoa maoni na mapendekezo katika vipindi vyetu
Kushiriki katika vipindi moja kwa moja
Kushiriki katika kuuliza na kujibu maswali moja kwa moja
kushiriki katika mshindano maalumu
JUMAMOSI | ||
---|---|---|
MUDA | KIPINDI | MAELEZO |
06:00 - 10:00 | Msisimko Gospel | Nyimbo za Injili, mafundisho ya kiroho |
10:00 - 12:00 | Nimfahamishe Special | Elimu ya mazingira, afya, historia |
12:00 - 14:00 | Gallapo Weekend | Maoni ya watu kuhusu maisha ya weekend |
14:00 - 17:00 | Weekend Bomba | Muziki, trending topics, burudani kali |
17:00 - 20:00 | Kipindi cha Familia | Malezi, ndoa, mahusiano ya familia |
20:00 - 23:00 | Zamu ya Mjomba | Vichekesho vya familia, drama na sketi |
23:00 - 05:00 | Mziki Bila Kikomo | Mchanganyiko wa muziki usiku kucha |
JUMAPILI | ||
MUDA | KIPINDI | MAELEZO |
06:00 - 10:00 | Gospel Sunday | Ibada, nyimbo za injili, mazungumzo ya kiroho |
10:00 - 12:00 | Kipindi cha Maisha | Ustawi wa jamii, maadili, na mafanikio binafsi |
12:00 - 14:00 | Gallapo Weekend | Maoni ya watu kuhusu mitazamo ya maisha ya leo |
14:00 - 17:00 | Weekend Bomba | Muziki, trending topics, burudani kali |
17:00 - 20:00 | Msisimko wa Vijana | Vipindi vya vijana – vipaji, motivation, fursa |
20:00 - 23:00 | Zamu ya Mjomba | Vichekesho vya familia, drama na sketi |
23:00 - 05:00 | Mziki Bila Kikomo | Mchanganyiko wa muziki usiku kucha |
JUMATATU-IJUMAA | ||
MUDA | KIPINDI | MAELEZO |
06:00 - 10:00 | Msisimko Gospel | Nyimbo za Injili, mafundisho ya kiroho |
10:00 - 12:00 | Nimfahamishe Special | Elimu ya mazingira, afya, historia |
12:00 - 14:00 | Gallapo Weekend | Maoni ya watu kuhusu maisha ya weekend |
14:00 - 17:00 | Weekend Bomba | Muziki, trending topics, burudani kali |
17:00 - 20:00 | Kipindi cha Familia | Malezi, ndoa, mahusiano ya familia |
20:00 - 23:00 | Zamu ya Mjomba | Vichekesho vya familia, drama na sketi |
23:00 - 05:00 | Mziki Bila Kikomo | Mchanganyiko wa muziki usiku kucha |
Hello! karibu sana msisimko Media hapa tapata bururdani kem kem zitakazo kufanya kamwe usijutie kutufahamu
🟣 Historia ya Msisimko Media Msisimko Media ilianzishwa rasmi mwaka 2022 kama jukwaa la kidijitali lililolenga kuleta mabadiliko katika tasnia ya habari na burudani nchini Tanzania. Wazo la kuanzisha Msisimko Media lilizaliwa kutoka kwenye kiu ya kutoa maudhui yanayoelimisha, kuburudisha na kuhamasisha jamii, hususan vijana. Mwanzoni, Msisimko Media ilianza kama redio ya mtandaoni – Msisimko FM, ikiwa na vipindi vya kijamii, muziki, mahojiano, na mijadala kuhusu maisha ya kila siku. Redio hiyo ilipata umaarufu haraka kutokana na sauti mpya, ubunifu, na ukaribu wake na jamii. Vipindi kama Gallapo, Msisimko wa Bongo, na Paza Sauti vilianza kuvutia wasikilizaji kutoka kona mbalimbali za nchi. Kutokana na mafanikio hayo ya awali, Msisimko Media ilitanua huduma zake kwa kuanzisha Msisimko TV, kituo cha mtandaoni kinachoonyesha vipindi vya video, tamthilia, makala maalum, na filamu za vijana. Lengo kuu lilikuwa kuibua na kukuza vipaji vya vijana wa Kitanzania kwa kutumia jukwaa huru na linalopatikana mtandaoni kwa urahisi. Kadri muda ulivyopita, Msisimko Media imejipambanua kama kituo cha habari na burudani chenye msukumo wa mabadiliko, kikijikita katika kuunga mkono maendeleo ya jamii kupitia teknolojia, sanaa, na sauti za watu wa kawaida. Mpaka sasa, Msisimko Media inaendelea kukua, ikiendesha vipindi mbalimbali vya podcast, kuandika makala za blogu, kushirikiana na wanahabari wa kujitegemea, na kutoa fursa za matangazo kwa biashara ndogo na za kati. 📌 Leo na Kesho Msisimko Media haijabaki nyuma na teknolojia mpya. Ikiwa na tovuti ya kisasa, huduma za video-on-demand, na uwepo thabiti kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, na YouTube, jukwaa hili linaendelea kuwa sehemu muhimu ya maisha ya kidijitali ya vijana wa Afrika Mashariki. Dira yetu ni kuhakikisha kuwa kila sauti inasikika, kila kipaji kinapata nafasi, na kila hadithi inasimuliwa kwa njia yenye msisimko wa kweli.
Kuwa jukwaa bora la kidijitali barani Afrika linaloibua vipaji, kuelimisha jamii, na kusambaza burudani yenye msisimko wa kweli.
Kuleta taarifa sahihi, burudani ya ubunifu, na maudhui ya kuelimisha kupitia redio, televisheni ya mtandaoni, podcast, filamu, na majukwaa mengine ya kidijitali; huku tukikuza vipaji vya vijana na kuchochea mabadiliko chanya katika jamii.
Ukweli – Tunatangaza habari zenye uhalisia na uaminifu.
Ubunifu – Tunaamini katika kutengeneza maudhui ya kipekee na ya kuvutia.
Ushirikiano – Tunahusisha na kuimarisha jamii kupitia ushirikiano wa kweli.
Uadilifu – Tunafanya kazi kwa uwazi na maadili mema.
Mshikamano – Tunathamini tofauti na kujenga mazingira jumuishi kwa kila mtu.
Uongozi wa Kijamii – Tunatumia maudhui yetu kuhamasisha na kubadilisha fikra kwa maendeleo.
Je? unafahamu msissmko media inajihusisha na nini Msisimko Media ni jukwaa la kisasa la kidijitali linalolenga kuleta mabadiliko chanya kupitia habari, burudani, na elimu. Tunatumia teknolojia kuunganisha sauti za vijana, kutoa fursa kwa vipaji vipya, na kuleta maudhui bora kwa jamii ya Kitanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Tunaendesha vipindi vya redio, televisheni ya mtandaoni, podcast, na machapisho ya habari kwa njia ya ubunifu na maadili ya hali ya juu.
👥 Timu Yetu
Tuna timu yenye weledi, ubunifu, na motisha ya kweli. Timu ya Msisimko Media inajumuisha waandishi wa habari, watangazaji, watayarishaji wa maudhui, wabunifu wa video na sauti, pamoja na wataalamu wa teknolojia ya habari. Kila mmoja ana nafasi maalum ya kutimiza dira yetu ya kuwa jukwaa bora la kidijitali
🤝 Wadau Wetu
Tunaunga mkono kazi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo:
Mashirika ya kijamii
Wafadhili wa kimataifa
Wasanii wa ndani na nje ya nchi
Vyombo vingine vya habari
Wanafunzi na wanavyuo kupitia vipindi vya kijamii na elimu
Wadau hawa wanatusaidia kutimiza lengo letu la kuwa na maudhui yenye msukumo wa kweli.
Ni kipindi kinachokuletea mambo mbali mbali yaliyowahi kutokea yanayotokea na yatakayotokea kwa kuyachimba kwa undani zaidi ili kujua nini chanzo chake na kwanini mambo hayo hapa tutanagazia masuala yote ya kihistoria ambayo yatakufanya uburudike na hata uelimikie pia
Hichi ni kipindi kinachohusika na mijadala mahojiano kuhusu masuala mbali mbali yanayohusu wasanii na hapa tutakuwa na mahojiano ya ana kwa ana na wasanii husika ili kufahamu chimbuko la sanaa yao
Kipindi hiki kina husu masuala mabali mbali ya mtaani kikijumlisha mabo yote yanayofanywa na wananchi ilikujipati akipato na hapa tuta anaghazia masuala yote ya kibisahara,maisha yao kwa ujuumla wake,Harakati za ujitafutiaji wa riziki
Email: info@msisimmkomedia.com
Simu: +255 694 400 055